Ni kweli tatizo la huyo dada anachukulia mambo ya magharibi kama yalivyo anayeleta huko TZ. Anakua anaiga hawa waamuzi wa huku na maneno yao ya kashfa na utani (Humour) analeta huko wakati huko kwetu sisi hatuna desturi na upuuzi wa utani. Huwezi kumwambia msanii anayeanza kuwa muziki haukupendi huko ni kumkatisha tamaa. Kama S-7 anataka kuiga mambo ya magharibi basi achuje sio kuiga kila kitu. A Mdee
1 comment:

Post a Comment