Tuesday, September 18, 2007

OOOH MY DOG WEEE...!!!


2 comments:

Anonymous said...

Huu ni mchezo wa kuigiza! Hivi mbwa mkali huwa anabweka kweli? Nijuavyo mimi mbwa mkali anang'ata kimya kimya!!!!!!!!!

Anonymous said...

Inaonekana anon hapo juu ni mtaalamu wa masuala ya mbwa! Ethology hiyo umesomea wapi anon? Ukali wa mbwa na kubweka havina uhusiano wa moja kwa moja. Mbwa akabweka na kuwa mkali au akabweka na kuwa mwoga.