Saturday, March 27, 2010

ZITTO


1 comment:

Unknown said...

MAUDHUI HAPA NI KUPANDISHA PRESHA ZA WABUNGE WANAOSHIKILIA MAJIMBO AMBAYO MH. ZITTO ANAALIKWA AKAGOMBEE NA SI KWAMBA ANAHITAJIKA SANA HUKO. MI NAONA WABUNGE WALIOKAMATA MAJIMBO KWA ZAIDI YA MIAKA 25 WAENDELEE MPAKA WAZEEKEE MADARAKANI AU WAFIE HUMO. HII NI KUTOKANA NA KUKOSEKANA MCHAKATO WA KUWAONDOA ILI KUWEKA WATU WAPYA KUTOKANA NA KUKOSEKANA MTU MWENYE SIFA AU KUOGOPANA KUHUSIANA NA NGUVU ZA GIZA, PESA UBABE WA MANENO NK.

KAZI KWENU WAPIGA KURA