Sidy, umesema sawia!Dhambi ya ubaguzi ikimkaa mtu haimtoki, sawa sawa na nzige kutokushiba hadi atakapoufikia umauti!Kazi nzuri!
Halafu Subi, naona kidoleni kama hakuna kitu, sema ndio, wachumba tupo hapa!
Ha ha ha mdau wa June 2, 2008 7:24 AM, mmh, kwa kuchunguza tu, utadhani fundi saa akitumbulia jicho saa ya mteja? Nakupa heko bwana we!
Ebwana safi sana katuni zako nimeweka link katika www.blog.co.tz/mrocky nawe si vibaya ukaweka yangu kwako.
Post a Comment
4 comments:
Sidy, umesema sawia!
Dhambi ya ubaguzi ikimkaa mtu haimtoki, sawa sawa na nzige kutokushiba hadi atakapoufikia umauti!
Kazi nzuri!