Thursday, May 29, 2008

HIVI NZIGE ANASHIBA...???




4 comments:

Subi Nukta said...

Sidy, umesema sawia!
Dhambi ya ubaguzi ikimkaa mtu haimtoki, sawa sawa na nzige kutokushiba hadi atakapoufikia umauti!
Kazi nzuri!

Anonymous said...

Halafu Subi, naona kidoleni kama hakuna kitu, sema ndio, wachumba tupo hapa!

Subi Nukta said...

Ha ha ha mdau wa June 2, 2008 7:24 AM, mmh, kwa kuchunguza tu, utadhani fundi saa akitumbulia jicho saa ya mteja? Nakupa heko bwana we!

Father Kidevu said...

Ebwana safi sana katuni zako nimeweka link katika www.blog.co.tz/mrocky nawe si vibaya ukaweka yangu kwako.